By a male,
22-30 years old,
in Nairobi,
Kenya

Children of our communities they have problems of going to swim during the rain they use to go many of them to have fun. but it come to a time where by many of childrens you to die in the water some were even go or being swept with water takes them up to sirang or even takes them some times up to nairobi dam at undugu it us
been killing many of childrens in our society. coz of poverty coz am sure that once their parent could have money they could be giving their childrens also to have fun too.
So their is this organisation called amani nowerday it take the childrens all in the communities each and every week to swimming pool at rowaland at list to have fun us other childrens in the estate.
Read more.
By a female,
31-45 years old,
in Nanyuki,
Kenya

Tangu lile shirika la shallow wells international management na ambalo linaogozwa na mr lex kuja kwetu,tulidhania shida yetu ya maji imeisha Baada ya kazi ngumu ya kuchiba mashimo na visima hatukupata maji,
Walikuwa na uwezo nzuri sana lakini hawakufaulu.
Read more.
By a male,
31-45 years old,
in Nanjuki,
Kenya

Ilikuwa miezi kadhaa baada ya hili shirika la shallow wells international Management kuja katika kijiji chetu.
walikuwa na mbinu mpya za kufapata maji yaliyoko chini.
mpango wao haukufaa dafu kwani maji haya kutokeza. waliamua kuchiba mashimo lakini wapi? maji yakatalia chini.
Read more.
By a male,
31-45 years old,
in Thika,
Kenya

Kutoka swim ije kwetu kule kijijini ilituonyesha mbinu mpya za jinsi ya kuchimba mitaro na mashimo ya maji. Mipango yao ni mizuri lakini haikufaulu.
Read more.
By a male,
31-45 years old,
in Thika,
Kenya

Haikuwa ni mbali kutoka ile siku swim ilikuja huku kwetu walitufunza mbinu zao mpya za jinsi ya kuchimba mashimo ya maji mipanga yao ilikuwa mizuri lakini haikufaulu.
Read more.
By a male,
31-45 years old,
in Thika,
Kenya

Hikiwa ni siku nyingi baada ya hili shirika la shallow well international management kuja katika kwetu ili kutupatia maji masafi ya kunyua.
Mpangu huu ulikuwa mzuri lakini wapi haukufaulu.
Read more.
By a male,
46-60 years old ,
in Thika,
Kenya

Kutoka swim ije kule kwetu kijijini ilituonyesha mbinu mpya za jinsi ya kuchimba mitaro na mashimo ya maji mpango yao ni mizuri lakini lakini haikufaulu kwa sababu ya mawe na mchanga iliyokuwa chini.
Read more.
By a male,
46-60 years old ,
in Thika,
Kenya

Ilikuwa ni siku chache baada ya swim kuja huku kwetu.Ilikuwa ikitufunza jinsi ya kuchimba na kutoa mashimo ya maji.Tulikuwa tumefulahi lakini mipango yao haikufaulu.
Read more.
By a male,
46-60 years old ,
in Thika,
Kenya

Haikuwa ni mbali tangu siku yenye swim ilikuja huku kwetu walitufunza mbinu zao mpya za jinsi ya kuchimba mashimo ya maji mipango yao ilikuwa mizuri lakini haikufaullu.
Read more.
By a female,
31-45 years old,
in Nanyuki,
Kenya

Tangu shirika hili la shallow wells international management kuja katiba kijiji chetu. tulifurahia sana kwani tulijua shinda ya maji imeisha.
Lakini walitufunza jinsi ya kupata maji na kuchimba risima ilitupata maji yaliyoko chini.
Nia yao haikufaulu kwani chini kuna maji na mawe.
Read more.